News

TIMU ya taifa ya Uganda The Cranes, imeendelea kung’ara katika michuano ya CHAN 2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ...
KATIKA kuhakikisha inajiandaa na msimu mpya wa Ligi ya Wanawake, inaelezwa Yanga Princess imewaongezea mikataba wachezaji ...
NYOTA watatu wa kikosi cha kwanza cha Taifa Stars, wamekwepa mtego wa adhabu ya kukosa mechi ijayo ya hatua ya makundi ya michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jumamosi ...
KWA mashabiki wa soka, hakuna kitu kitamu kwao kama kuona mchezaji wao akiibukia kutoka kwenye akademia zao kisha akapata namba kwenye kikosi cha timu ya wakubwa na kufanya vizuri akiwa ...
TOFAUTI na makundi mengine yenye timu tano, hesabu za kundi D katika michuano ya CHAN 2024 zinaonekana kuwa ngumu zaidi kutokana na idadi ya timu ambazo leo Jumanne zitacheza mechi ya pili ...
MAGWIJI wa soka la England, Gary Lineker na Alan Shearer wanaamini Arsenal itaangukia pua tena kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema kuwa pesa nyingi zinazomwagwa na timu hiyo katika dirisha hili ni lazima zitumike ili ...
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno amesema licha ya kuwa mara ya kwanza kufundisha soka Tanzania, lakini uwezo ...
Kama unadhani ndoa ya Yanga na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa itaishia njiani unakosea. Pande hizo mbili ...
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza nafasi ya nne kwa makipa waliokuwa na ‘clean sheets’ nyingi baada ya Moussa Camara ...
SAA chache tangu kufanyioka kwa droo ya mechi za raundi za awali za michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu ikiwamo Ligi ya ...
AGOSTI 6, 2024 Azam FC ilimpa kijana Abubakar Nizar Othman ‘Ninju’ mkataba wa malezi, yaani wa akademi, wa miaka mitatu ambao ...