PAMBA Jiji imeonja utamu wa kuongoza msimamo wa Ligi Kuu kwa saa mbili na ushei kabla ya kushushwa na Simba, huku kocha Francis Baraza akiwapa ujanja mastaa wa timu hiyo akitaja mambo ...