Baadhi ya wachezaji wa Manchester United "sio wazuri" na "wanalipwa pesa nyingi", mmiliki mwenza wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe amesema. Kiungo wa kati Casemiro, mshambuliaji Rasmus Hojlund, mlinda ...
Mshambulizi wa zamani wa Manchester United na Uingereza Wayne Rooney amecheza dhidi ya mabeki wa viwango vya juu wakati wake. Akiwa amekaa kwa miaka 13 kwenye kikosi cha United ambacho kilikuwa na ...