Miongoni mwa wachezaji waliovutia msimu uliopita wa 2024/25 ni Offen Chikola kiungo huyo mshambuliaji alitua Yanga akitokea ...
Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba, baada ya kumalizana na timu aliyoichezea kwa misimu 10 mfululizo Azam FC Mshambuliaji John Raphael Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili ...
Klabu ya Yanga nchini Tanzania imekamilisha usajili wa kiungo Aziz Andambwile akitokea Singida Fountain Gates. Andambwile amemwaga wino kwa kandarasi ya miaka miwili jangwani. Ama kwa upande wa Simba, ...