Katika kila jukwaa la siasa, utasikia maneno ya maombi; katika kila madhabahu, maneno ya haki, amani, uadilifu au uwajibikaji. Lugha hizi, zenye mizizi ya kiimani, mara nyingi huibua mijadala ya ...