Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na ...
Mahakama ya Kenya leo imeahirisha uamuzi uliokuwa unatarajiwa kuhusu uhalali wa sheria inayoharamisha mapenzi kwa watu wa jinsia moja. Kwa mujibu wa jaji katika mahakama hiyo hii leo asubuhi, kesi ...
Mwandishi mashuhuri wa vitabu na mwanaharakati wa masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Kenya Binyavanga Wainaina, amefariki duniani akiwa na umri wa miaka 48, baada ya kuugua muda mfupi kwa mujibu ...
(Nairobi)- Magenge katika pwani ya Kenya yamewashambulia watu tena na tena kwenye misingi ya hisia ya kimapenzi na utambulisho wa kijinsia, mashirika ya PEMA Kenya na Human Rights Watch yasema katika ...
Mahakama kuu nchini Kenya imeamua sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja itaendelea kutumika nchini kinyume na ilivyotarajiwa na wanaharakati waliotaka ifutiliwe mbali. Katika uamuzi huo, majaji ...
Mdahalo wa mapenzi ya watu wenye jinsia moja unazidi kuwa kiazi moto katika taifa ambalo asilimia 80 ya raia wake ni wakristo, siku chache tu baada ya Mahakama ya Juu kuamua kuwa watu hao wana uhuru ...
Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia wakimbizi UNHCR, inasema itatoa msaada wa kuwalinda watu wakimbizi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ambao wamerudishwa katika kambi ya wakimbizi ya ...